Kwangu mimi cesc fabregas alikuwa mtu saana.. MAESTRO.
de bruyne, ozil, dennis berkgamp ni wachezaji ambao walikuwa wanafanya mpira uonekane mchezo mwepezi saana.
Kama tukichukua wastani, idadi ya mechi kwa assist nahisi fabregas na de bruyne ndio mmoja wao atakuwa top hapo.