Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ongeza Zahera na TambweBinafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao

Kindoki ninawasiwasi kama Zahera atamtoa lakini sijawahi kumwamini kabisaNa vyura mnauwezo wa kuacha wachezaji
Yaani huyo Kindoki simzimii kabisa.Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Uko vizuri chamani kwetu.Kindoki, Dante, Tambwe, Kamusoko, Boban, Matheo Antony, Juma Mahadhi, Pius Buswita, Pato Ngoyani(abaki huko huko African Lyon), Anko (ingawa huyu ni yanga damu), Makapu, Yule golikipa wa soka la ufukweni, Jafary Mohamed, Yusuf Mhilu abaki huko huko Ndanda, nk.
Ingizo jipya: Yule golikipa wa Bandari ya Kenya, Ayub Lyanga (Coastal Union), Said Hamis jr (mbao fc), Hassan Kabunda (Mwadui fc), Mapinduzi Balama (Alliance fc), Idd Seleman Nado wa Mbeya city(huyu apewe program maalum ya stamina ili apunguze kuanguka anguka, ni mpambanaji sana uwanjani), na wengineo wengiii wa nje na ndani ya nchi! Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Lazima mikia fc watetemeke msimu ujao na vile vizee vyao ambavyo kimsingi vitakumbwa na fatique ya kufa mtu kama ilivyowatokea Real Madrid msimu huu ulioisha. Nb: Ali Sonso msimchukue tafadhali.
Naunga mkono hoja ila Jafari apewe muda, dogo anavitu Fulani hivi! Kabwili atolewe kwa mkopo ili tusajili makipa makini 03! Kwa ujumla Yanga inahitaji kusukwa upya kabisa!Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Mkuu umemaliza kila kituUko vizuri chamani kwetu.
Anko abaki bado ana kauzoefu ili aje kuwa meneja kama canavaro na nsajigwaKindoki, Dante, Tambwe, Kamusoko, Boban, Matheo Antony, Juma Mahadhi, Pius Buswita, Pato Ngoyani(abaki huko huko African Lyon), Anko (ingawa huyu ni yanga damu), Makapu, Yule golikipa wa soka la ufukweni, Jafary Mohamed, Yusuf Mhilu abaki huko huko Ndanda, nk.