Wachezaji wanaotakiwa kuachwa na Yanga msimu ujao

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
 
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
 
Kindoki, Dante, Tambwe, Kamusoko, Boban, Matheo Antony, Juma Mahadhi, Pius Buswita, Pato Ngoyani(abaki huko huko African Lyon), Anko (ingawa huyu ni yanga damu), Makapu, Yule golikipa wa soka la ufukweni, Jafary Mohamed, Yusuf Mhilu abaki huko huko Ndanda, nk.

Ingizo jipya: Yule golikipa wa Bandari ya Kenya, Ayub Lyanga (Coastal Union), Said Hamis jr (mbao fc), Hassan Kabunda (Mwadui fc), Mapinduzi Balama (Alliance fc), Idd Seleman Nado wa Mbeya city(huyu apewe program maalum ya stamina ili apunguze kuanguka anguka, ni mpambanaji sana uwanjani), na wengineo wengiii wa nje na ndani ya nchi! Yanga daima mbele, nyuma mwiko. Lazima mikia fc watetemeke msimu ujao na vile vizee vyao ambavyo kimsingi vitakumbwa na fatique ya kufa mtu kama ilivyowatokea Real Madrid msimu huu ulioisha. Nb: Ali Sonso msimchukue tafadhali.
 
Na vyura mnauwezo wa kuacha wachezaji
 
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Yaani huyo Kindoki simzimii kabisa.
 
Uko vizuri chamani kwetu.
 
Binafsi kama yanga tunataka tuwe timu ya ushindi wachezaji wafuatao sioni nafasi yao
1.Kindoki
2.Haji Mwinyi
3.Mathew Antony
4.Buswita
5.Kamusoko
6.mahadhi
7.Dante
8.Jafari
9.Boban
Naunga mkono hoja ila Jafari apewe muda, dogo anavitu Fulani hivi! Kabwili atolewe kwa mkopo ili tusajili makipa makini 03! Kwa ujumla Yanga inahitaji kusukwa upya kabisa!
 
Akina Kevin Yondani wamechoka. Yanga ichukue vijana kama Ajax vile.
 
Sijui kwa nn huwa mnamsahau Kaseke..... Uyu jamaa amna kitu
 
Anko abaki bado ana kauzoefu ili aje kuwa meneja kama canavaro na nsajigwa

Hii listi umeshamtumia dokta msola?alitoa namba za simu kwa yoyote mwenyewe ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…