Wana Mara njooni tukumbushane wachezaji wanaotokea mkoani kwetu
Mimi naanza na hawa
¹ Mohammed bakari Tall (Simba Sc na Taifa Stars)
2 Amir Kiemba (Simba na Taifa Stars)
3 George Masatu Magere (Pamba, Simba na Taifa star)
4 Ally Mchumira (Young Africa na Taifa Stars)
5 Elias Maguli (Simba na Taifa Stars)