Tunahitaji waamuzi wakali wasimamie sharia zote za soka bila kuangalia mtu usoni.
Wachezaji wanapaswa kujua soka ni uwekezaji mkubwa na lazima wawe na nidhamu na soka.Wafanye bidii kwenye mazoezi,sio kuvuta bangi na kupania mechi waliyoahidiwa mapesa na wasiolitakia mema soka letu.
Maana kuna watu wanataka kulifanya soka kama siasa,propaganda nyiingi lakini timu zao zikicheza kimataifa hazifanyi chochote.
Mtu mzima anakwenda air port kupokea wageni ili kuwapa support washinde dhidi ya timu ya ndani wasiyoitakia mema.Ukiangalia sababu,ni ujinga mtupu eti kwamba sote tuwe maskini.Hizi ni roho za kichawi.
Nasema punguzeni roho za kichawi,wekezeni kwenye soka ndani ya pitch.Acheni kutafuta ushindi wa nje ya uwanja.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app