Wachezaji wanaovuta bangi Tanzania

Wachezaji wanaovuta bangi Tanzania

Kelvin Yondani
Haroub Canavaro
Papa Tshishimbi
Jonas Mkude
Wachezaji wa mikia wote wanakula bhangi
IMG-20180901-WA0007.jpeg
 
Mmmh. Huyo wa Mikia kabisa labda.

Hao wengine unawasigizia bana. 😂😂😂😂
Amini nakwambia wewe muangalie Canavaro mdomoni utaona mdomo mweusi hata akiwa anacheza mpira anacheza kihunihuni sasa zile sio bangi?
 
Una uthibitisho gani mkuu?
Yeye na wachezaji wenzake watatu wa Zanzibar Heroes akiwemo Fei Toto walichukuliwa vipimo na ikathibitika anatumia bangi na hivi sasa anatumikia kifungo cha kutocheza mpira kwa kosa hilo
 
Mmmh. Huyo wa Mikia kabisa labda.

Hao wengine unawasigizia bana. 😂😂😂😂

Kevin Yondani Ni Mvutaji Mkubwa Na Msambazaji Hasa Wa Hiyo Jamaica Vegetables Na Hupitishia Mzigo Bagamoyo nakuja Kuusambaza Dar! Kunamshkaji Hupita Sana Maeneo Ya Kariakoo Pale ilipo Benki Ya PBZ na Kutokezea Mtaa wa Nyamwezi mida za Kama Saa 2 usiku huwa Ana Boxer Nyekundu Utamkuta Kavaa Rasket Basi Huyo Ndiyo Mtu Wake Wa Kusambaza Mzigo.
 
Back
Top Bottom