Hahahaaa. Hivyo bangi si lazima ile kitu yenye moshi. DuuuhAmini nakwambia wewe muangalie Canavaro mdomoni utaona mdomo mweusi hata akiwa anacheza mpira anacheza kihunihuni sasa zile sio bangi?
Ndio aiseee. 😜😜😜😜😜😜Yondani anasingiziwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh.Kevin Yondani Ni Mvutaji Mkubwa Na Msambazaji Hasa Wa Hiyo Jamaica Vegetables Na Hupitishia Mzigo Bagamoyo nakuja Kuusambaza Dar! Kunamshkaji Hupita Sana Maeneo Ya Kariakoo Pale ilipo Benki Ya PBZ na Kutokezea Mtaa wa Nyamwezi mida za Kama Saa 2 usiku huwa Ana Boxer Nyekundu Utamkuta Kavaa Rasket Basi Huyo Ndiyo Mtu Wake Wa Kusambaza Mzigo.
Ile yenye vumbiHahahaaa. Hivyo bangi si lazima ile kitu yenye moshi. Duuuh
Eti eeee.Ile yenye vumbi
Dah we jamaa wewe,sio kihivyo kufanya usnitch kisa post ya jf.Kevin Yondani Ni Mvutaji Mkubwa Na Msambazaji Hasa Wa Hiyo Jamaica Vegetables Na Hupitishia Mzigo Bagamoyo nakuja Kuusambaza Dar! Kunamshkaji Hupita Sana Maeneo Ya Kariakoo Pale ilipo Benki Ya PBZ na Kutokezea Mtaa wa Nyamwezi mida za Kama Saa 2 usiku huwa Ana Boxer Nyekundu Utamkuta Kavaa Rasket Basi Huyo Ndiyo Mtu Wake Wa Kusambaza Mzigo.
Ww kweli mgeni na soka la bongo nadir ana kula ndumu toka ln?Kelvin Yondani
Haroub Canavaro
Papa Tshishimbi
Jonas Mkude
wewe ndio unayemuuziaga auWw kweli mgeni na soka la bongo nadir ana kula ndumu toka ln?
Mke mwenzio ndio anamuuziaga!wewe ndio unayemuuziaga au
Acha zakoMke mwenzio ndio anamuuziaga!
Haàaaaaaahaaaa sory don't take it serious bro!Acha zako
Dah jamaa bangi zake sijui anazitoa wapi?Pepe
Hayo Maelezo yako umeyatoa Google?catalyst that increases the rate of a chemical reaction but remains chemically unchanged at the end of a reaction. no madhara ina faida nyingi sana