FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habari za asubuhi,
Kama nilivyoleta uzi wangu jana kusema Simba ina kikosi cha kawaida kulinganisha na Azam, hilo halina ubishi na siyo Simba tu ni hata Yanga pia.
Je, unafahamu toka Simba na Yanga wachezaji wanaoweza pata namba pale Azam moja kwa moja ni CHAMA na BANGALA tu?
Kwa vipaji vilivyojaa AZAM hao pekee wanaweza pata namba Chamanzi.
Mpira ni uwekezaji na Azam wamewekeza, endapo timu hii ya Azam ikivalishwa jezi za Simba au Yanga itachukua NBC ata Mara 3 UNBEATEN.
Ila kinachoiangusha Azam haitembezi bahasha kwa marefa ndiyo maana wanainyonya sana unaichukulia poa utazani haitoki TANZANIA.
Msimu jana nilishangaa sana Simba na Yanga kushangilia kuifunga Azam ambayo wacheza 8 wa first eleven walikuwa out karibu msimu mzima.
LYANGA, DUBE,NADO,BAJANA. Hao wachezaji tegemezi walikuwa majeruhi msimu Jan.
SUREBOY,AGGREY,MUDATHIRI hao walisimamishwa.
Sasa mlikuwa mnafrahia nini kutufunga?
note: KAULI MBIU YETU HATUFUNGWI NA TEAM ZISIZO NA VIWANJA MSIMU HUU[emoji16][emoji460]