Wachezaji wanaoweza kupata namba Azam kutoka Simba na Yanga

Uyo kanote ukimpeleka KMC nauhakika hapati number kwa majogoro

Kwani simba na KMC ilikuwaje?

Alafu unasahau pia

1.bajana hakuwepo
2.sopu
3.Tepsie
4.ndoye

Hawakuwepo
 
Azam ni wadogo tu pale anaweza namba wakitokea sub ni akaminko na dube
Yule kipa wenu hawezi kumweka benchi diara
Juma shaban unajua uwezo wake
Hapo kati unajua mafundi
Mbele kuna mayele huwezi kimlinganisha na mbombo
Mngetufunga basi kama mnauwezo diara anajua kubabaika tu ila goal keeping ni zero
 
Yaani watu wengine wa ajabu sana.

Kuifunga Simba ndio unaiona Azam ni timu kubwa sana, pale amekutana na Simba ambayo imechoka. Mechi zingine ataendelea kupata tabu.
Kaongea ukweli,kuna tofauti kati ya ubora wa timu na ubora wa wachezaji.Azam ina wachezaji bora sana kuliko Simba na Yanga
 
Na nyie tulieni acheni mbambamba sasa kufungwa na hizo timu ndogo mnazokutana nazo huwa mnapatwa na nini? Hilo la bahasha kuna timu ndo mambo yake hayo simba haina huo ujinga
Kumbe na nyie huwa mnapewa bahasha maana ushindi wenu huwa ni sare kinyume chake ni vichapo tu!
 
Kaongea ukweli,kuna tofauti kati ya ubora wa timu na ubora wa wachezaji.Azam ina wachezaji bora sana kuliko Simba na Yanga
Tatizo watu hawapendi sikia ukweli ivi Banda,sakho,kanoute, wanaweza kaa ata bechi Azam?
 
"Kwasababu za kiufundi" nakubali utetezi wako kwa Prisons, enhe vipi kwa KMC FC?
KMC tulidharau mechi na poor selection of players kocha aliona katoka ku win against alkhadar akafanya utumbo mwingi
 
Tatizo Azam anakamia mechi za Yanga na Simba ndo utofauti uliopo unawafny wachezaji viwango vinapanda kwa kukamia mechi hizo
 
KMC tulidharau mechi na poor selection of players kocha aliona katoka ku win against alkhadar akafanya utumbo mwingi
Kwa maelezo haya ni dhahiri kwamba kupoteza mchezo huo hakukusabishwa na refa.
Na ndio mpira ulivyo huwezi kudraw au kuwin kama mpinzani wako hakufanya uzembe/makosa.
 
Tatizo Azam anakamia mechi za Yanga na Simba ndo utofauti uliopo unawafny wachezaji viwango vinapanda kwa kukamia mechi hizo
Hatukaamii tuna cheza simple tu kama ni rahisi kukamia waambie ata mtibwa wakamie na wawafunge

Issue Azam ana Quality players
 
Chukueni ubigwa tofauti na hapo nyie ni lhefu yenye bus zuri
 
Haha kisingizio kingine... kwahiyo refa ndio alimwambia golikipa wenu wa azam asidake mashuti ya feitoto... ushabiki usikufanye upungue uwezo wa kufikiri
Refa kaibeba Yanga kwa kutompatia Bajana red card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…