Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Huyo jamaa anacheza pf na sf kwenye hizo nafasi utamtoa nani uweke yeyeUzi batili kama DeMar DeRozan hayupo
Kweli kikosi kimekamilikaSikupingi
Nimtoe nani hapo akae yeyeBila Dwayne wade hiyo ni opeless
LBJ na MJ huwakubali?Yangu hii hapa:
Point Guards
Magic Johnson
Isiah Thomas
Shooting Guards
Clyde Drexler
Dwayne Wade
Centers
Hakeem Olajuwon
David Robinson
Small Forwards
Larry Bird
Scottie Pippen
Power Forwards
Charles Barkley
Dennis Rodman
Jamaa alikuwa anapenda sana kucheza kama sf mm naona KD na LBJ wanamfunikaNiko pamoja na wewe,vipi yule Scottie Pippen hapo aingii?
Hao ni GOAT, wana uwezo wa kuingia timu yoyote. Nilitaka tu kuweka altenative list.LBJ na MJ huwakubali?
Good na hawa wa sasahivi vp kina Antetokounmpo?Hao ni GOAT, wana uwezo wa kuingia timu yoyote. Nilitaka tu kuweka altenative list.
Giannis yuko vizuri, kuipa Bucks championship was a big deal. Anatakiwa ku-maintain high standard kwa miaka kadhaa ndipo aingie kwenye royalty list.Good na hawa wa sasahivi vp kina Antetokounmpo?
Wachezaji wa sasahivi ni ngumu sana kumaintain sababu nn kama jokic kabeba MVP mfululizo champion ndo imemushinda umri unazidi kusongaGiannis yuko vizuri, kuipa Bucks championship was a big deal. Anatakiwa ku-maintain high standard kwa miaka kadhaa ndipo aingie kwenye royalty list.
AsanteBila Dwayne wade hiyo ni opeless
UnamkubaliAsante
Kwa starters yangu haingiVp kuhusu Steve Nash haingii popote hapo