Wachezaji watanzania jitambueni kulinda hadhi yenu msirubuniwe na utopolo

Wachezaji watanzania jitambueni kulinda hadhi yenu msirubuniwe na utopolo

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tunajua utopolo ana mamluki wengi,wengi wakiwa wezi wakubwa hii nchi wanaotoa pesa zao kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ama wawalegezee wanapocheza Mao,ama waikamie Simba ikibidi hata kuvunja miguu ya wachezaji wao ili kudhoofisha kikosi chao.

Hata hivyo nawakumbusha kuwa hiyo ndiyo kazi yenu.Ni lazima muoneshe ushindani ili siku moja msajiliwe vilabu vikubwa mnufaike na vipani vyenu.

Acheni kucheza kama wachezaji wa Dodoma jiji ama Kagera sugar na timu nyingine ambazo wanacheza kama hawajitambui.

Pia endeleeni kuikazia Simba maana lengo ni kuiimarisha kimataifa.Ipeni upinzani wa kweli ili kuikomaza.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ndio maana wale watu waovu huwa wanatukana, saa zingine Kuna Majinga yanakera sana. Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom