Wachezaji watatu ambao lazima wasajiliwe Simba

Siamini mpaka sasa Mugalu hajaachwa alafu ukute kocha mpya Mugalu ndo chaguo lake la kwanza safu ya ushambuliaji"haki ya Mungu uchawi upo"
Wewe bhana jitahidi tu kuzoea kuamini. Maana hakuna namna. Msimu ujao, jojo zitaendelea kutafunwa pale mbele kama kawaida.
 
1.CB wa kukaa na Inonga..
2.LB wa kumsaidia ZimbweJr, Gadiel hana msaada tena...
3.CM (Lwanga, Mzamiru, Mkude, Akpan, Kanoute ni kiungo chepesi sana..)

Mbele hakuna ulazima sana ila akipatikana namba 9, Kagere apewe mkono wa kwaheri...
Yaani ww ndiyo umeongea kinyume kabisa, kiungo cha kati ndiyo naona hakuna shida sana kwani ongezeko la Akpan ukichanganya na waliokuwepo inajitosheleza kabisa. Shida kubwa hata msimu uliopita imetugharimu ni kwenye umaliziaji pale mbele, nafasi nyingi zinatengenezwa kuweka mpira wavuni ndiyo tatizo. Phiri sawa ni mzuri na ataongeza kitu kikubwa ila tulitakiwa kuwa na mtu mwingine zaidi wa uhakika kama huyo Manzoki. Ila kwa kumtegemea Mugalu na Kagere tutasubiri sana
 
Simba eneo la goal kipa wanalisahau sana maana kakolanya na ali salum hawaaminiwi manula kuna mechi alicheza na majeraha na makipa wasaidizi walikuwa fit.
 
Muda utaongea ila kwa mtazamo wangu hatutakuwa na
1:Tadeo Lwanga out
2:M14 out
3:Mugalu out
Kwenda pré-season haimaanishi kuwa watabaki simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…