Wachezaji watatu wa Taifa Stars wadaiwa kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona, wanajeshi wa Madagascar watumika kuwatoa hotelini

Wachezaji watatu wa Taifa Stars wadaiwa kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona, wanajeshi wa Madagascar watumika kuwatoa hotelini

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Hivi ndivyo hali ilivo nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula, Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto).

Ikumbukwe Tanzania ina kibarua jioni dhidi ya Madagascar mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

😆😆😆 madagascar wanataka wajipigie nyingi leo 😆😆😆
 
Sasa mbona wameivuruga timu nzima wamechukua vitasa vya timu itakuwaje sasa??
 
Wangewachukua kabla taifa stars haijafungwa na congo Dr mngesema hujuma

Corona ipo tuchukue tafadhari
 
Kuna uwezekano ni kweli wana corona cioni hujuma hapo
 
Hivi ndivyo hali ilivo nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula, Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto).

Ikumbukwe Tanzania ina kibarua jioni dhidi ya Madagascar mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

View attachment 2009968
Kule si ndio Kabudi alipeleka Air Tanzania kuchukua juice ya Corona. Halafu msilete siasa kakamilishen ratiba hata wakicheza mtaenda wapi mkishinda. Mpira na siasa wapi na wapi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Fuateni sheria kwenye nchi za watu, kama wamepimwa na wamethibitika wana covid basi wachukuliwe wakawekwe mahali salama ili wasjie wakasambaza kwa watu wengine.
 
SIO NYIE WATOTO WA KABUDI (MIMACHO BOY) MLIE MTUMA BABA YENU HUKO MADASCAR AKAWAOMBEE DAWA YA COVID ??????? LEO TENA MADAGASCAR WABAYA???? CHA KUSHANGAZA SASAA, utakuta kuna mtu ana akili timamu kabsa, eti anakaa anafatilia mchuano huoo! WTF
 
Hakuna la kujali hapo... Wapo wachezaji 18 fidia na cover nzuri.. Vijana wenye Nguvu na Kasi wapo powa!!
 
SIO NYIE WATOTO WA KABUDI (MIMACHO BOY) MLIE MTUMA BABA YENU HUKO MADASCAR AKAWAOMBEE DAWA YA COVID ??????? LEO TENA MADAGASCAR WABAYA???? CHA KUSHANGAZA SASAA, utakuta kuna mtu ana akili timamu kabsa, eti anakaa anafatilia mchuano huoo! WTF
Uwe na Heshma, Kabudi anastahili heshima Kama binadamu mwingine yoyote.Uhuru wa kutoa maoni usitufanye tuvuke mipaka ya utu wa mtu.
 
Wanavyotufanyia utasema sio wao waliotugawia fursana za Corona.
 
Back
Top Bottom