Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Maana hata wakishinda bado ni wa mwisho tuKuna uwezekano ni kweli wana corona cioni hujuma hapo
Kule si ndio Kabudi alipeleka Air Tanzania kuchukua juice ya Corona. Halafu msilete siasa kakamilishen ratiba hata wakicheza mtaenda wapi mkishinda. Mpira na siasa wapi na wapiHivi ndivyo hali ilivo nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula, Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto).
Ikumbukwe Tanzania ina kibarua jioni dhidi ya Madagascar mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.
View attachment 2009968
Uwe na Heshma, Kabudi anastahili heshima Kama binadamu mwingine yoyote.Uhuru wa kutoa maoni usitufanye tuvuke mipaka ya utu wa mtu.SIO NYIE WATOTO WA KABUDI (MIMACHO BOY) MLIE MTUMA BABA YENU HUKO MADASCAR AKAWAOMBEE DAWA YA COVID ??????? LEO TENA MADAGASCAR WABAYA???? CHA KUSHANGAZA SASAA, utakuta kuna mtu ana akili timamu kabsa, eti anakaa anafatilia mchuano huoo! WTF