kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Timu kubwa zinapocheza na ndogo za madaraja ya chini ziwe makini sana kulinda wachezaji wao wasiumie mchezoni na kusababisha majeruhi wengi clabuni.
Upatikanaji na uthibiti wa bangi kwa wachezaji timu ndogo za mikoani hautiliwi manani sana.
Kabla ya mechi baadhi ya wachezaji wanavuta bangi inayosababishe wacheze bila ya kujali usalama wao na wawenzao uwanjani.
Timu kubwa ikilazimisha kuishinda timu ndogo ya mkoani inaweza kuzalisha majeruhi wengi kikosini.
TFF kuweni makini na matumizi ya bangi michezoni hasa timu za madaraja ya chini.