Wachezaji wengi timu ndogo wanavuta ganja

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Timu kubwa zinapocheza na ndogo za madaraja ya chini ziwe makini sana kulinda wachezaji wao wasiumie mchezoni na kusababisha majeruhi wengi clabuni.

Upatikanaji na uthibiti wa bangi kwa wachezaji timu ndogo za mikoani hautiliwi manani sana.

Kabla ya mechi baadhi ya wachezaji wanavuta bangi inayosababishe wacheze bila ya kujali usalama wao na wawenzao uwanjani.

Timu kubwa ikilazimisha kuishinda timu ndogo ya mkoani inaweza kuzalisha majeruhi wengi kikosini.

TFF kuweni makini na matumizi ya bangi michezoni hasa timu za madaraja ya chini.
 
Tff wanatakiwa watafute vifaa vya kuwapima akili wachezaji kabla ya mechi
 
Kuna ambao niliwaona jana kwenye azam cup dah wanaswing balaa
 
Sio kweli kwamba Simba au Yanga zinashindwa kuzifunga timu za daraja la tatu, ila wachezaji wao wanakamiwa na kuumizwa sana na "wavuta bangi". Kama timu kubwa ikitaka kulazimisha kuifunga timu ndogo basi ijiandae kuzalisha majeruhi wengi kikosini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…