vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mm ni mfatiliaji sana wa epl week in week out
Wachezaji wa sasa wa uingereza wamekuwa wa hovyo tofauti na miaka ya nyuma tu apo cha kuna kwa kina soul camble na ashley cole
Ukiangalia makinda wengi wa epl watoto wa malkia huanza karia yao vizuri with a promising talents
Lkn wengi wakienda sana kufikia miaka 24 wanakuwa wamechoka sana hata kupotea kwenye ramani ya mpira kwa top clubs
Tatizo ni nini?
Kwa miaka ya karibuni ni harry kane wa spurs,mr captain henderson na milner wa liverpool, walker wa City,trippier wa new castle waliomaointain kiwango chao kwa angalau muongo mmoja na
Nilikuwa nampa credit nyingi za foden wa man City na trent wa liverpool kufanya vizuri lkn taratibu wameanza kudrop
Na wechezaji wengi wanakuwa wanaumia mara kwa mara tatizo ni nini?
Hawa waingereza ni shida gani wanakuwa nayo?