Hahaa wa simba meddie siyo mendy banaYule mchezaji wa simba anaeitwa mendy ni wa wapi kwan
Mendy ni FR ikiwa imetoka kwa Mendoza ES. Utaona 90% ya Mendy wanatoka French speaking countries hasa Western Africa.Mendy ni jina la Kihispania kifupi cha Mendoza.
Hawa kina Mendy unaweza panga 11 kabisa wapo wengi.Nilikuwa namjua mchezaji wa Man city anaitwa Mendy ..halafu nikaona Real Madrid Wana ndugu yake kama sikosei anaitwa Mendy pia..
Mara nikaona Leicester Wana Mendy pia
Juzi nimeona kipa chelsea anaitwa Mendy..
Kuna anaweza niambia hawa wote wanatoka nchi gani??Wana undugu??
Kuna Mendy wengine wanacheza mpira level hii??
I am just curious
Tena ukae ukijua kuwa hawa sio ndugu, bali ni koo tu.Mendy ni jina la Kihispania kifupi cha Mendoza.
Benjamin na ferland ni ndugu?Hawa kina Mendy unaweza panga 11 kabisa wapo wengi.
Edouard Mendy ( Chelsea- Senegal)
Benjamin Mendy ( man city- France)
Ferland Mendy ( Madrid - France)
Arial Mendy ( Senegal)
Frederic Mendy- Guinea Bissau
Nampalys Mendy - Leicester (France)
Alexandre Mendy ( France)
Laurent Mendy (Senegal)
Halafu kuna yule agent wa William Gallas na Didier Drogba anaitwa Etienne Mendy. Wengi wao asili yao ni Senegal.
hawana uhusiano wa kinduguBenjamin na ferland ni ndugu?
Wasenegal wana majina hayo sana hasa waluozaliwa na kukulia ufaransaMendy ni jina la Kihispania kifupi cha Mendoza.
Nicholas Mendy (man City,France)Hawa kina Mendy unaweza panga 11 kabisa wapo wengi.
Edouard Mendy ( Chelsea- Senegal)
Benjamin Mendy ( man city- France)
Ferland Mendy ( Madrid - France)
Arial Mendy ( Senegal)
Frederic Mendy- Guinea Bissau
Nampalys Mendy - Leicester (France)
Alexandre Mendy ( France)
Laurent Mendy (Senegal)
Halafu kuna yule agent wa William Gallas na Didier Drogba anaitwa Etienne Mendy. Wengi wao asili yao ni Senegal.
Na Mimi naitwa Kenya Mendy...LiverpoolHawa kina Mendy unaweza panga 11 kabisa wapo wengi.
Edouard Mendy ( Chelsea- Senegal)
Benjamin Mendy ( man city- France)
Ferland Mendy ( Madrid - France)
Arial Mendy ( Senegal)
Frederic Mendy- Guinea Bissau
Nampalys Mendy - Leicester (France)
Alexandre Mendy ( France)
Laurent Mendy (Senegal)
Halafu kuna yule agent wa William Gallas na Didier Drogba anaitwa Etienne Mendy. Wengi wao asili yao ni Senegal.
Mh kina dembele wako wengi sanaWamewafunika kina dembele