Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mwee!Surzkiapolandioabych
Japan/Kumamoto fc
Kakuma ya Nigeria piaZipo timu pia zina majina ya kawaida ila kibongo ni bonge la tusi.
Wanaobet wanaijua kumamoto ya japan
hahaha hili ni hatariSurzkiapolandioabych
Japan/Kumamoto fc
Majina ya kolomije kabisa haya1)Kalipuyange Mayala
2)Bopya bo ngoko batombanemwe.
Hawa jamaa walikuwa timu moja ya mchangani kule Misungwi.
Hatarii!Majina ya kolomije kabisa haya
afu kala umeme Leo daaahKonstantinos Mavropanos
hahahaDuuh majina kama password za WI-FI
Me nishapumzika kuiangalia Arsenal naomba tu msimu uishe tumshushe Allegri au Enrique tuanze safari ya kurudisha heshima mjini!.afu kala umeme Leo daaah
Una msongo wewe sio bure!So what?
Tufanyeje labda ?,inafaida gani kujua hayo mambo?
Smh!!!
Baalaaaa.....!Kuna mwingine anaitwa KAKUMA IKUNDU huyu anachezea timu ya mtaa wao inaitwa MWAGAMAVI FC.
KhumaloKumalo
Huwa siwa jurge watu lakini umenisikitisha sana ...yani mnoooo..So what?
Tufanyeje labda ?,inafaida gani kujua hayo mambo?
Smh!!!
kuna mwingne wa liverpool anaitwa sjui "wjnadum"Majina haya yanawapa shida mashabiki, makocha, waandishi wa habari na wachambuzi mbalimbali
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece/Dortmund)
2. Jakub Błaszczykowski:
Poland (Wolfsburg)
3. Grzegorz Krychowiak:
Poland (PSG/WBA)
4. Wojciech Szczęsny:
Poland (Juventus)
5. Yevhen Olehovych Konoplyanka:
Ukraine (Shalke04)
6. Jakub Wawrzyniak:
(Poland/ Lechia Gdańsk)
7. Panagiotis Tachtsidis:
Greece (Olympiacos)
8. Hakan Çalhanoglu:
Turkey (AC Milan)
9. Lukasz Piszczek:
Poland (Dortmund)
10. Przemysław Tytoń:
Poland ( Deportivo de La Coruña)
Je, kwa upande wako ni mchezaji gani ambae jina lake limewahi kukupa shida kulitamka??