political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Hawa wachezaji wanahusishwa kuondoka wote ni foreigners. Wachezaji wa ndani mbona ni wengi wamefanya poa kwenye hizi games za CAF?
Maana yake ni nini? Nikichogundua ili uwe marketable Kuna haja ya kuwa na wasimamizi wenye ushawishi na link mbali mbali ili uweze kwenda viral.
Yaani sijasikia mchezaji wa ndani wa Young Africans anaehitajika nje.
Why?
Mwalimu wangu wa chuo pale St Augustine University of Tanzania Dr Mrisho alikuwa anatufundisha International PR aliwahi kusema hivi, Nanukuu "Surround yourself with those who can rise you high". Maana yake ufungamane na watu ambao watakusogeza/ watakupaisha juu.
Hili libaki kuwa Kama lesson kwa wachezaji wetu wazawa. Watengeneze link ambayo itawapaisha zaidi. Performance pekee haitoshi
Let me remind you
Kuna yule striker wa Burundi Fiston Aboulazack hakuwa na performance bora, hakuwa outstanding but alipotoka Young Africans alienda Khouliba Algeria na baada ya muda kidgo tu alipata kusajiliwa Renaissance Sportive du Berkane (RS Berkane)
Hapa unaona kwamba sometimes performance bora is not a guarantee kupata mikataba minono na kupata Timu kubwa.
Mawakala wanaowasimamia wachezaji kama Bakari Mwamyeto , Ibrahim Abdullah Hamad Bacca, Dickson Job wachukue hii Kama lesson. Ukitizama mchango wa Lomalisa pale Young Africans sio mkubwa compared to Hawa vijana niliowataja. Lakini Lomalisa ni rahisi kusikia anahusishwa na RS Berkane lakini wachezaji wetu wa ndani wasipate hii fursa
Tunapiga kelele kuhusu Timu yetu ya taifa ( Tanzania) kutofanya vizuri, hii inasababishwa na outputs (wachezaji) wetu kutokuwa kwenye spotlight. Bacca anaweza cheza Timu nyingi tu Kubwa Afrika. Dickson Job the same Bakari Mwamyeto halikadhalika.
"Surround yourself with those who can rise you high"
Think Globally, act Locally ( Glocalization). Ameandika mchambuzi Carlos vera.