Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiwa wanajiandaa na mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Zesco wachezaji wa timu ya Yanga wamegoma
chanzo gazeti LA Uhuru leo
Sisi siyo mikia wakupigwa viganja ugenini,hata ikienda yanga B hatufungwi kizembeMpaka muda huu ni 3 - 0
Umeandika kama Mwanamke anayewahi kujitawadhaSiwamotoka kulipwa kabla ya mwisho wa mwezi au zile zilikuwa nauli za kwendea zambia
Alisikika mlevi mmoja akisemaSisi siyo mikia wakupigwa viganja ugenini,hata ikienda yanga B hatufungwi kizembe
Watapindua meza hawa ?Uhuru leo
Ni kweli kabisa wamegoma toka jana
Benchi la ufundi hawajalipwa mishahara...Zahera hapati tena mshahara wa DR Congo anadai mpaka chenji 🤪sababu nini tena jamaa mbona game imefika ndio wanagoma