Wachezaji Yanga wagoma

testa

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
442
Reaction score
180
wakiwa wanajiandaa na mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Zesco wachezaji wa timu ya Yanga wamegoma

chanzo gazeti LA Uhuru leo
 
Uhuru leo
 

Attachments

  • IMG-20190921-WA0003.jpg
    127.8 KB · Views: 24
Endeleeni kuweweseka na magazeti yenu yasiyo na kichwa wala miguu
 
Siwamotoka kulipwa kabla ya mwisho wa mwezi au zile zilikuwa nauli za kwendea zambia
Umeandika kama Mwanamke anayewahi kujitawadha

Wamegoma kufanya nini? Lini? Source ya taarifa?
 
Ila kwa Yanga hii ushindi wake ni wa tabu na kubahatisha yn bora Yanga yetu ya msimu uliopita kwakweli yn wale wachezaji sifa nyingi ktk magazeti uwanjani ushindi kwa mbinde....so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…