A
Anonymous
Guest
Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa endapo Serikali haitasikiliza malalamiko ya kufunguliwa kwa eneo lao la uchimbaji baada ya mmiliki wa leseni wa eneo hilo kukiuka makubaliano yao na kuufunga mgodi huo kwa almost miezi 7 sasa.
Ipo hivi, wachimbaji hao walianza kuchimba eneo hilo miaka kadhaa nyumba lakini walipotaka kuomba leseni waliambiwa kuna mtu anayo leseni ya utafiti kwenye hilo eneo, hivyo walipokalishwa na Ofisi ya Madini huyo jamaa alishinda.
Kwa kuwa ilionekana leseni yake ya utafiti ni ya miaka nyingi though ilikuwa ipo dormant, so akapewa kipaumbele cha kupewa leseni ya Uchimbaji lakini kwa kuwa tayari kulikuwa na watu ikabidi waingie makubaliano awe anapata kamisheni kutoka kwa wachimbaji.
Ikafika wakati akataka na yeye achimbe lakini kwa mujibu wa taratibu za uchimbaji hakupaswa achimbe kwenye eneo hilo ambapo toka hapo akaanzisha migogoro ambayo haiishi kwa madai kuwa hilo siyo eneo salama.
Kabla ya kusitisha Wachimbaji walitakiwa kuweka mpango kazi na mchoro wa uchimbaji wa kisasa ambao hautaathiri mazingira na usalama pia, mpango ambao bajeti yake ilienda Sh Milioni 800+
Mpango huo ukawasilishwa kwa Afisa Madini na Mmiliki ambao waliwatakiwa kuwasilisha bank statement kuona kama kweli wanaweza kufanya hiyo project, Wachimbaji waliwasilisha na baada ya kukubalika waliruhusiwa kuanza kazi lakini juzi kati wakati wanaingiza mitambo kuanza kazi wakapokea barua inayowataka kusitisha mchakato huo hadi hapo watakapoketi tena Novemba 18, 2024.
Sasa wachimbaji wanaona ni kama wanaonewa na ni mbinu inayotumiwa kuwadhoofisha kuichumi ili wasiweze kutimiza masharti kutokana katika kipindi chote hicho hizo pesa ambazo ni michango ya Wanachama na mikopo ipo bank na hazizalishi.
Wengine walikopa ili watekeleze mradi wakiamini wangerejesha sasa kwa miezi hiyo yote pesa ipo na hazizalishi hali inayoweka njia panda na wasijue hatima yao.