Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Sep 8, 2010 #1 Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada.
Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada.
Muacici JF-Expert Member Joined Aug 11, 2008 Posts 208 Reaction score 11 Sep 8, 2010 #2 Digna37 said: Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada. Click to expand... Waone DDCA, Drilling and Dam Construction Agency wapo karibu na lango la kuingia UDSM kutokea Ubungo - Sijui wewe upo wapi, maana office zao ziko pia mikoani
Digna37 said: Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada. Click to expand... Waone DDCA, Drilling and Dam Construction Agency wapo karibu na lango la kuingia UDSM kutokea Ubungo - Sijui wewe upo wapi, maana office zao ziko pia mikoani
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Sep 8, 2010 Thread starter #3 Asante sana!!! Nafanya kazi karibu na hapo. Ukiwa huhitaji kitu hata mabango utasoma na usiyaone. Nashukuru.
Asante sana!!! Nafanya kazi karibu na hapo. Ukiwa huhitaji kitu hata mabango utasoma na usiyaone. Nashukuru.
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Sep 8, 2010 #4 Digna37 said: Asante sana!!! Nafanya kazi karibu na hapo. Ukiwa huhitaji kitu hata mabango utasoma na usiyaone. Nashukuru. Click to expand... teh teh NI KWELI
Digna37 said: Asante sana!!! Nafanya kazi karibu na hapo. Ukiwa huhitaji kitu hata mabango utasoma na usiyaone. Nashukuru. Click to expand... teh teh NI KWELI
M manyusi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 292 Reaction score 170 Sep 11, 2010 #5 0782796297 call them
M mamaduke Member Joined Oct 25, 2010 Posts 16 Reaction score 0 Oct 27, 2010 #6 Je hapa mnamaanisha kuchimba ili kupata underground water? Nilianzisha thread mpya kabla sijaiona hii. Je kuna anayejua kama wana ofisi Moshi. Natanguliza shukrani
Je hapa mnamaanisha kuchimba ili kupata underground water? Nilianzisha thread mpya kabla sijaiona hii. Je kuna anayejua kama wana ofisi Moshi. Natanguliza shukrani