Wachina bado sana kwenye teknolojia, ni copy and paste. Kuhusu ubora bado wapo chini sana na wanaendelea kujifunza

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
China imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao, ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji.

Mwisho wa siku tafiti nyingi zilizikuwa zinafanywa zilibebwa hivo hivo na kufundisha wachina na leo wachina wanaonekana kutumia vizuri.

Nimejaribu kufatilia magari ya umeme toka china ndipo nikagundua hawa watu bado kabisa






hii ni gari ya tesla kutoka usa







bei za wachina magari ya umeme ali baba



bei tesla tena used [emoji2]
 
Au sio....
Copy...paste then modify hata hao wasio wachina wanafanya sana.
Sema unawaonea wivu wachina tu.
Acha sisi tuendelee kuagiza meter za umeme, meter za maji, simu, subwoofer, mini music player, solar panels, tooth stick, brash za viatu, miswaki, vyombo vya nyumbani, phone accessories, and n.k.

China technology bado sana coz wana copy tu....
Bora Tanzania hatutaki ku copy technology ya mataifa mengine, sisi tutagundua yakwetu mpya kabisa, ni suala la muda tu.

Kwa sasa acha tutumie vitu kutoka kwa hao wanao copy, then mwaka 30021 tutakuwa tumesha gundua vyakwetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
China technology bado sana coz wana copy tu....
Bora Tanzania hatutaki ku copy technology ya mataifa mengine, sisi tutagundua yakwetu mpya kabisa, ni suala la muda tu.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tanzania gani unayozungumzia Mkuu??? Kwa mwendo tulio nao huu naamini ifikapo mwaka 30021 bado tutakua tunatumia jembe la mkono la mChina.
 
mwisho wa siku tafiti nyingi zilizikuwa zinafanywa zilibebwa hivo hivo na kufundisha wachina na leo wachina wanaonekana kutumia vizuri.

nimejaribu kufatilia magari ya umeme toka china ndipo nikagundua hawa watu bado kabisa
Nami nimefuatilia post yako ili nione ukizungumzia technical aspects za hayo magari uliyoweka kama reference lakini nakuta umeishia kuonesha bei tu!! Ni kama unajaji "ubado" wa Uchina kwa kuangalia bei!!

Does it ring a bell when someone says "budget cars"? or "Budget Something"?

Inawezekana una hoja lakini umeshindwa kuijenga hoja yako kwa hoja! Hizo ulizoweka za vidola elfu kadhaa ni Budget Cars lakini huko huko China kuna electric cars zinazouzwa kwa zaidi ya $50K, na mfano mzuri ni NIO EC6 inayouzwa zaidi ya $70K.
 
Nami nimefuatilia post yako ili nione ukizungumzia technical aspects za hayo magari uliyoweka kama reference lakini nakuta umeishia kuonesha bei tu!! Ni kama unajaji "ubado" wa Uchina kwa kuangalia bei!...
Hapo umenena, China ubora wa bidhaa unaendana na kile utakachokuwa tayari kulipia, you get what you pay for

 
MBONA SISI HUKU TOZONIA TUNAAGIZA VYUPI , LESO , MADEKIO , PADS , NK kutoka uchina ......vipi na sisi hatuwezi kucopy na kupaste technology ili tuwe like chinese plz.

NAKUONA MTOA MADA UMEVAA CHUPI KUTOKA CHINA ...( samahani sitarudia tena ).[emoji23]
 
KUMBEE WANAUWEZO WA KUIGA KUTENGENEZA HADI MAGARI MBALIMBALI.

SISI [emoji654]jembe chapa jogoo from china.
[emoji654]Vyupi vya mtumba from china.
[emoji654]Leso from china
[emoji654]Toothpic from china.
[emoji654]SIMU YAKO from china.

[emoji654]Nk .
 
Wabongo mmetoa nini paka karne hii mzee?
 
We jamaa umeniudhi sana
 
Wamefika mwezini kwa teknolojia hiyo hiyo ambayo unawazarau. Na wanakutengeneza hata mifereji hapo unapokaa.
 
Wachina usiwachukulie powa- vitu vyote kuanzia gari,hiyo Iphone uliyonayo,hizo spea zinazounda Tesla cars,Lambogin etc.

TV,majiko yaani kila kitu,kuanzia nguo,viatu,dawa vinazalishwa China au vina sehem yake imeundwa China.....Ukifika China kwanza utaelewa nini Quality and seriousness .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…