Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887



Dar es Salaam.
China inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Ubungo, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za biashara na mahitaji ya nyumbani.

Kituo ambacho kitakapokamilika kitalifanya Jiji la Dar es Salaam lifahamike kama ‘Dubai ndogo ya Tanzania’.

Pia, kituo hicho ambacho ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwaka huu na kukamilika baada ya miezi 15, kinatajwa kuwa tofauti na Soko Kuu la Kariakoo, kitakuwa na zaidi ya maduka 3,000, maghala madogo zaidi 300 na eneo lenye uwezo wa kuhifadhi magari 5,000. Kitajengwa na Kampuni ya LingHang na kusimamiwa na Serikali ya China.

Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo

http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=142674363#post142674363
 
Wakaijenge gongolamboto kupunguza safari za ubungo
 

Ubungo Bus standiiiiiiiiiii.....................!
 
Tujiandae kusomewa albadiri na wakenya itawakela sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…