Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Barabara hiyo search Google uone magari yanavyopita hapo ,inashangaza kwelHii barabara au nyoka 😂
Gari haziwezi panda hicho kilima ndio maana wameweka konakonawanapoteza hela tu., kwa nini wasinyooshe tu ijulikane moja.
Tension kwenye mambo ya Engineering au sio ?Na hii tension ndio wanayoitaka
Black mamba kwa mbali anakuja anakataaKweli tembea ujionee,
Barabara inaitwa kashgar xinjiang highway
Maana yake ukiimaliza lazima utapike asee
View attachment 2762436View attachment 2762437