WACHINA NA UGALI?

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Habari.
hivi mmewahi jiuliza kwanini wachina, wazungu, waarabu kwanini hawali ugali?
Marekani inalima mahind sana ila hawali ugali ni chakula cha ngombe.
Kuna uhusiano wa chakula alacho mtu na IQ?
pia tupitie nakala ya kitabu changu
 
Sio waarabu wote hawali ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…