Kama unataka kumfahamu mchina basi nenda kwa mchaga kwanza kujua wapoje.Wachina ni watu ambao wenye kukuzoom tu ufike kilele cha mlima kilimanjaro wapite na wewe.
Wachina wana kamchezo kukupokea na kuwa rafiki yao mzuri wa biashara ijalishi wapo tanzania au nchini mwao.Wakiona biashara yako inakwenda vizuri na wewe wanaanza kukupa mali kauli wakiunganisha pamoja na mzigo wako.
Kumbe wao wapo kutafuta soko kiundani sio kukuweka wewe kama wakala wao,wanachofanya wanawatuma ndugu zao wanaofanana macho wanakuja Tz ulipo na kukuwekea kile unachofanya bila wewe kujua tena wanakuja kwa jina tofauti au wengine wanakuja na jina iloilo unalonunua bidhaa zao.
ACha kumfananisha mchina na mchaga wewe, hivi unamfahamu mchina kweli?
Kila anapoenda mchina lazima competitors wake wateme bungo, si ulaya, si america si africa kote huko moto unapelekwa
Acha maneno ya kijinga fanyeni kazi sio kuwaita wenzenu wezi mnapo ona wanafanikiwa na wewe kaibe au katapeli kama ndo kufanikiwa acha wivu wakijinga tafuta hela.