Wachina wagombea wowowo la Aunty Lulu

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ nchini China.


Mrembo huyo amekwenda nchini humo hivi karibuni ambapo tukio hilo lilitokea alipohudhuria shoo ya mwanamuziki wa Tanzania anayeishi nchini humo aitwaye Zitha, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shenzhen.
Kwenye video nilyoipata, ilimuonesha Aunty Lulu akigombewa na Wachina hao huku wengine wakionekana kumrekodi video kupitia simu zao ambapo wengi walionekana kuvutiwa zaidi na kalio kubwa la Aunty Lulu.

“Unajua wameshangazwa na kalio langu huku wanawake wao hawana makalio hivi, niliona wanacheza nikainuka kucheza nao hilo lilikuwa ni kosa kwangu walipagawa ile mbaya,” alisema Aunty Lulu.
Wachina
hao walikuwa wakimgombea huku wengine wakiomba kupiga naye picha na wakati walipokuwa wakipiga naye picha, kila mmoja alikuwa akimgusa kalio.


 
Na bila hiyana aunty lulu aliridhika na kufurahia kitendo hicho cha kushikwa makalio na wachina
Aunt lulu anasema "najisikia ufahari wananishika tu makario najisikia ufahari sana wengine wanaingizamo vidole pia najisikia raha"
 
ndo tuwaulize nyie huwa mna kazi nazo zipi
Binafsi, nahisi uwa ni tamaa za macho sababu limeveshwa kitu kivutiacho bkin,pajam,kanga...n.k,ila mvuto wake ni mdogo sana likiwa wazi,
Kama mtu si mjuzi aweza asimuhitaji tena mwenye lake wowo baada ya kumvua.
 
Binafsi, nahisi uwa ni tamaa za macho sababu limeveshwa kitu kivutiacho bkin,pajam,kanga...n.k,ila mvuto wake ni mdogo sana likiwa wazi,
Kama mtu si mjuzi aweza asimuhitaji tena mwenye lake wowo baada ya kumvua.

AISEE
 
malaya wachafu km hawa kutia mpaka unajutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…