Wachina waibiwa magari

Wachina waibiwa magari

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Kuna taarifa kwamba kuna gari mpya za wachina aina ya nissan patrol zimeibiwa na walinzi maeneo ya mikocheni nissan hizo ni za rangi nyeupe zimeibiwa maeneo ya mikocheni bado zinatafutwa zimeibiwa usiku huu ni mali ya wachina --- inasemekana walinzi ndio wameiba zimeibiwa dakika 30 zilizopita katika makao yake gari hizo ni mpya
 
naona mwenzetu eme-specialise taarifa za wizi, maana kuna tarifa ya kuibiwa simu airport uliziweka hapa a week ago or so.
 
Ee bwana hongera sana unajua ni "manjagu" wachache sana walio active kwenye mitandao.
 
waambie wachina hapa ni bongo, kwa gari mpya kama hizo kama hawajafunga track me au kujiunga na car track wameumia. saa hizi ziko mbali sana
 
Asante kwa taarifa ila duh, mbona maswali mengi kuliko taarifa yenyewe. Imekuwaje ikufikie haraka hivyo mkuu, yaani baada ya dk 30 tu? hata polisi wengine nina uhakika hawaju kilichotokea. Anyway, thanks for taarifa. gnt
 
muzngu aliambiwa ukija bongo wanapenda sana kuuliza hata kama ukiwauliza swali

alipofika airport akamuuliza porter mmoja wa swissport nasikia tanshania mnapenda sana kuuliza maswali kabla hamjajibu

akajibiwa nani kakakwambia???

usishangae hili mkuu

gudnyt
 
Mama Mia unashangaa kwa nini kazipata haraka taarifa???Usione kwamba kila anae kaa Jamboforum ni raia tu wa kawaida au hana kazi za kufanya yupo hapa, so kwa hilo swali lako nadhani hakuna jibu kwa nini habari kazipata mapema.......
 
naona mwenzetu eme-specialise taarifa za wizi, maana kuna tarifa ya kuibiwa simu airport uliziweka hapa a week ago or so.

I wanted to say the same thing maana thread za Shy of late ni za wizi tu.
Ni mwera ama vp huyu jamaa?...LOL!
 
naona mwenzetu eme-specialise taarifa za wizi, maana kuna tarifa ya kuibiwa simu airport uliziweka hapa a week ago or so.

Yawezekana yupo katika kitengo cha wizi na ajira....kwa hiyo muda wote anakuwa updated hata usiku..Hata wewe ukikakabwa mtaarifu faster.
 
Ni Gari ngapi zilizoibwa?, taarifa haijitoshelezi, ni mpya kwajili ya kuziuza ama walizokuwa wakizitumia wao.
hebu tupe ufafanuzi kidogo pengine tuzione pahala.
 
Ni gari mbili hizo gari zilikuwa zinatoka bandarini kwenda katika maegesho yake , wachina wengi walionchi hawana tabia ya kusajili magari yao kwa njia halali na ndio maana tukio kama hili likitokea inakuwa ngumu sana kufuatilia na kuzikamata kutokana na tabia hizi za wachina kushirikiana na watu wengine wa mamlaka za mapato na usajili
 
Acha walambe unaweza kukuta hao walinzi mshahara 65,000/= ningumu sana. Utanunu a nyama ukamuamini paka wakati hujampa chakula?? Shy washauri waagize mengine wana njema sana hao wamekutana na wajasiriamali wenzao...
 
Kuna polisi alikuwa anasema lazima watakuwa wachaga hao kama ni magari mapya -- akasisitiza hao wachagga watakuwa wamewapa laki 3 hivi au 2 walinzi na kwenda kuwatupa msituni huko na kuishia na magari
 
Nadhani kama ni kweli ni wachaga atakuwa Yona Maro et al, maana wizi wa simu anajua yeye, wizi wa laptop anajua yeye, wizi wa magari anajua yeye na wakti huo huo Yona huyo ni Mchagga. Na anasema hata askari wamemdokeza kuwa ni wachaga (expression of his own experience ama ni njia ya kufanya marketing).

Shy a.k.a Yona Maro ogopa sana kusema kitu juu ya kundi la watu tena kitu usichokijua kitakuletea shida tena kwa mtu kama wewe unayefahamika kwa majina yako halisi. Unaweza kupigwa mawe buree ni onyo tu.
 
Heri mie ninaeitwa mahmoud qaasim na sifichi jina langu popote, kuliko afichae jina wakati linajulikana wazi. ah ndio hivyo kila mja na lake.
Hebu tupeni updates za hayo magari na walizi imefikieje.
 
Tunafanya kazi kwa viwango yoyote anayetaka kunitafuta aje anitafute anipate tunawataka sana watu hao wanaojifanya wanaweza kufanya lolote pale wanapoambiwa ukweli pale wanapoambiwa umekosea pale wanapokosolewa

well yes am yona maro , naishi kimara , njoo tu
 
Jamaa anapenda umaarufu AKA Sifa za kijinga......huyuy mshikaji anajifanyaga mwera tena wale wanaoitwa wapelelezi yeye kila he pretend anajua.......
KImara ni pwani au Morogoro?
 
Back
Top Bottom