Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hhhhhhh hio kaliKwao ni raia ugenini ni majambazi, najua unatambua majambazi 2 yakikuta sehemu 1 kuiba inakuwaje.
Tunaishi nao mitaaniMambo yao yanatuhusu vipi yani
Ni uhakika 100% bila kupinga.Hhhhhhh hio kali
Wanatoka vijiji tofauti sio kijiji kimoja, elewa hivyoHhhhhhh hio kali
Hao wametoka kijiji kimoja UjamaaMbona ninapo ishi ni majiran zangu wamechukua eneo kubwaaa wamejazana kama kumbi kumbi unawaona tu ghorofan wakivuta fegi
Sasa huo ushirikiano unaosema ni upi maana naona ni watu wakukaa Kwa pamoja sio wakutengana tengana
Nadhani hao uliowaona wewe wanafanya kazi kampuni moja, nilivyoelewa mimi ni kwamba kwa wale ambao ni wachina ila kila moja kaja kwa hamsini zake, na wakikutana huku kwetu hakuna kujuana kwa kuwa kila moja kaja kwa shughuli yake. Tofauti na sisi watanzania tukikutana nchi za wenzetu ndio ndugu yako huyo.Mbona ninapo ishi ni majiran zangu wamechukua eneo kubwaaa wamejazana kama kumbi kumbi unawaona tu ghorofan wakivuta fegi
Sasa huo ushirikiano unaosema ni upi maana naona ni watu wakukaa Kwa pamoja sio wakutengana tengan
Kueleza sna siwez ila kifupi Kuna waliochukua Hilo eneo Kwa ajili ya biashara ni sehem ya starehe na pia inanyumba za kulala wagen yaan Kila siku wagen wanaoingia ni wachina na wengine ni wale wanaochukua hela kwenye mashine zao za kamar Hawajatoka sehem mmoja hawaNadhani hao uliowaona wewe wanafanya kazi kampuni moja, nilivyoelewa mimi ni kwamba kwa wale ambao ni wachina ila kila moja kaja kwa hamsini zake, na wakikutana huku kwetu hakuna kujuana kwa kuwa kila moja kaja kwa shughuli yake. Tofauti na sisi watanzania tukikutana nchi za wenzetu ndio ndugu yako huyo.
Uliwahi kuwauliza? Kuna sehemu nyingine wametoka zaidi ya China?Hawajatoka sehem mmoja hawa
Nataman nikupigie picha maana get lao na letu Lina fatana hata walinzi wao hawaruhusiwi kua nje zile nyumba za kulala wageni ni vigorofa flan ivi tunawaona ni kama vile zile nyumba za kulala wagen wachina wenzao ndo wanakuja hapoUliwahi kuwauliza?
Nimekuelewa vizuri ila wewe hujanielewa vizuriNataman nikupigie picha maana get lao na letu Lina fatana hata walinzi wao hawaruhusiwi kua nje zile nyumba za kulala wageni ni vigorofa flan ivi tunawaona ni kama vile zile nyumba za kulala wagen wachina wenzao ndo wanakuja hapo
100% VERY TRUE!Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu wanaogopa kuigana biashara / mbinu za kutengeneza pesa