Wachina wakimwagilia Uwanja wa Taifa kwa Ajili ya Mechi ya Nkana FC

Na sisi kama mashabiki wa NKANA FC wa mkopo tulikuwa tunalinda uwanja ndipo wachina wenye nguo nyekundu wakaingia na kuanza kuchimba mashimo na kufukia Nyasi Bandia uwanjani.

[emoji23][emoji23]
Tulieni tuwabutue na hao Babu zenu nkana,
 
This is Simbaaa!! mtasubiri sana nyie vyura wa pale Jangwani.
 
Subiri uone timu kubwa ya kisasa, achana mivyura ya akina akilimali na wachawi wengine kibao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kama kawaida yao simba, apo wanafukia kichwa cha mbuzi uwanjani, tena saa6 mchana kweupee pee, ila kichapo kipo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…