Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Katika hali ya kuendelea kuwanyanyasa wazawa wachina watatu wa kampuni ya CHICO wamemfanyia unthinkable mfanyakazi alietaka kuwapa msaada watoto sabini baada ya kutaka kuwapa msaada wa kuvuta basi lao.
Dereva yassin twaha alichofanyiwa na maelezo ya kamanda bundala yanatia kinyaa wazalendo wa nchi hii sasa tusimame tujilinde wenyewe.
Hivi wachina wako wangapi nchini hadi watutawale!???????
Tuwarudi hawa hata kwa manati. Wamesha jua bei ya mahakimu, huko hamna haki kwa mzawa
Kila kazi ina kanuzi zake, msaada upi? walikuwa hatarini kupoteza maisha? au walikuwa wameharibikiwa tu na gari? unaweza kuona unatoa msaada kumbe unahatarisha zaidi usalama wao. mfano kuwavuta na wao wamo ndani ya gari linalovutwa, kama kafanya hivyo anastahiki kichapo, kwani alikuwa anahatarisha maisha ya hao wanafuzni zaidi ya kuwasaidia.
Huyo dereva ni punguani avute basi na kuna wanafunzi ndani? huyo alistahiki kulimbokwa.
Una gari wewe au unategemea PTNyie manotetea mnaona huy dereva alikuwa anafanya la maana kuvuta basi liliharibika lenye wanafunzi ndani? amma kweli Watanzania bado tupo nyuma sana kuhusu mambo ya usalama.
Una gari wewe au unategemea PT
Zomba nilishakuambia huo upolisi wako utakucost wewe kuwa shushu tu lakini you are in the wrong move mkuu. Jamaa amedhalilishwa kwa ajili ya kuwaondoa watoto wale waliokuwa wanaenda kwenye umitashumta ili wasivamiwa na majambazi ile barabara nadhani unawajua. Lakini kwa kumvunja mkono na kumtengua nyonga sio ubinadamu we will fight chico company and we will build chinese phobia kitaeleweka tu
Katika hali ya kuendelea kuwanyanyasa wazawa wachina watatu wa kampuni ya CHICO wamemfanyia unthinkable mfanyakazi alietaka kuwapa msaada watoto sabini baada ya kutaka kuwapa msaada wa kuvuta basi lao.
Dereva yassin twaha alichofanyiwa na maelezo ya kamanda bundala yanatia kinyaa wazalendo wa nchi hii sasa tusimame tujilinde wenyewe.
hata wawe wanakwenda wapi. Huwezi kuvuta gari lenye aboiria ndani, ni makosa makubwa sana. Huyo dereva kichapo halali yake. Usitete ujinga.
Kama unajuwa kuwa haya mabasi ya siku hizi, breki, usukani, gear hufanya kazi kwa kutegemea injini usingesema yote hayo. Gari ikizima ikawa inavutwa hata ndogo haitakiwi ipakie abiria, hata kuivuta na dereva ndani ni makosa. Ikiharibika inatakiwa ije breakdown kuivuta au kuipakia iiondoe ilipo ili isisababishe madhara zaidi.
Huyo dereva kulimbokwa ni sawa kabisa. Atarudia?
Kama unaijua hiyo barabara huyo dereva alifanya kitendo cha uungwana kikubwa ila polisi wetu are for sale
Kwa taarifa yako CCK wakichukua nchI usajili wakada zote unaanza upya matoyoyo kama nyie mnao walinda wawekezaji tunafukuzaHata wawe wanakwenda wapi. Huwezi kuvuta gari lenye aboiria ndani, ni makosa makubwa sana. Huyo dereva kichapo halali yake. Usitete ujinga.