Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Habari za asubuhi Wana JF,
Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamaniki, Ina nyasi kubwa nje na ndani, sio watunzaji wazuri wa nyumba hadi dirisha la aluminium washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto wala mke.
Vyakula vyao wanamwaga tu ovyo, nyumba miezi mitano tu ishachakaa ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....