Wachina wanaongoza kwa uchafu

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Habari za asubuhi Wana JF,

Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.

Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.

Shida ni wachafu nyumba haitamaniki, Ina nyasi kubwa nje na ndani, sio watunzaji wazuri wa nyumba hadi dirisha la aluminium washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto wala mke.

Vyakula vyao wanamwaga tu ovyo, nyumba miezi mitano tu ishachakaa ndani kunatoa harufu Kali.


Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.

Naomba kuwasilishaa....
 

Hao ndugu zake kimsboy. Angependa tujifunze zaidi kwao:

Kwanini Mashoga wengi wanaichukia Urusi, Putin, Korea Kaskazini na China?

Ndiyo role models wake.
 
Nyumba ya Mzee amepangisha sio 'tuliwapangisha wachina' mbona unajimilikisha wakati Mzee yupo.
Mada nzuri ila tatizo umewasilisha mada huku ukijipa umiliki wa hiyo nyumba.
 
nasikia huko kwao makimba wanayakusanya kuyafanya mbolea
 
Wachina ni wachafu sana, kwanza ni watu wa kutema tema mate hovyo, kufuta makohozi na kuyatema kwa kuyarusha, kujamba hovyo...

Hao washenzi wanatema mimate iwe airport, supermarket, restaurant n.k...

Wananuka miili, midomo ndio usiseme kama vile harufu ya vitunguu swaumu vilivyoanza kuchacha...

Jiandaeni tu kuja kukarabati nyumba kwa upya watapoondoka hapo...
 
Bora hao, wahindi je? Wanatema tambuu kwenye bedroom na kunya humo.
 
Nyie hamkai hapo majani yanawahusu Nini tafuta kazi za kufanya binti,
 
Hiyo ni kawaida mbona mkuu hata kwetu wabongo.
umesema hawana mtoto wala mke, maana ni mabachela.
Na kwa kawaida bachela hana muda na usafi wa anapokaa, akitoka asubuhi kurudi ni jioni, hata akishinda nyumbani kufanyia mazingira usafi ni changamoto.
Cha kufanya hapo wekeni mfanya kazi wa kuangalia mambo ya usafi.
Mimi hapa ninapokaa ni chumba kimoja lakini kuna changamoto ya kufanya usafi, sasa itakuwaje kwa mabachela wenye nyumba nzima?
Tena ndani ya fensi?

Halafu kwa kuongezea, nyumba nyingi zenye fensi, ndani mambo ya usafi ni changamoto.
 
Weka watu wa kufanya usafi ama vipi waambie wawe wanafanya usafi
 
Poleni aisee
Kuna siku nilikua kkoo niliposimama pembeni alikua mchina ..alikua ananichefua kila Mara anatema mimate..mshenzy yule nilimkata jicho mpaka akaingia kwenye kiduka Chao..
 
Ndio maaana mm nasema biashara ya kupangisha iwe ya mwisho maana haiwezi kukutoa wanalipa milioni 9 kwa mwezi, je nyumba imejengwa kwa thamani ya sh ngapi ? Na hiyo milion 9 wanayolipa itachukua miaka mingapi pesa kurudi??m
 
Si lazima kuwepo na watoto ndo uharibifu utokee, hilo dirisha la Aluminum ambalo wamevunja kioo, walikuwa wafanya mazoezi ya 這個 劉基宏中國
😁😁😁😁 Kung Fu kwenye nyumba za watu
 
Nyumba ya Mzee amepangisha sio 'tuliwapangisha wachina' mbona unajimilikisha wakati Mzee yupo.
Mada nzuri ila tatizo umewasilisha mada huku ukijipa umiliki wa hiyo nyumba.
Sijajipa umiliki Ila hii nyumba msimamizi ni Mimi.
 
Mkuu nyumba Ina uchafu kila Aina Yani nyumba inatoa harufu kishezi
 
Kweri mkuu Ila was wangetafuta ata mfanyakazi wa kuweka mazingira sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…