Hii ni janja ya wa watu wa mgahribi ku weaken nguvu ya kampuni za china.
Yes wanaweza kuwa na wekaness na wnatumiana goverment zao . Hivyohivyo hata kampuni za Ulaya zinafanya.
Wikileaks imeonyesha jinsi Beoing inavyolloby upata tender nchi mbali mbali
Sisi hatuna teknlojia hatuna pa kukimbilia .Ukinunua Rada ya BAE ujue waingereza na wamerakani wanajua mapungufu yahizo rada.
Ukinunua ya mchina wanasema eti ni duni na haina viwango.
Na bado sasa tutaanza kuchukua kuwa wateja wa india bcs sisi wa watumiaji/consumer tu.
We have no choice sababu hatuna teknolojia.