Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,351
wenyewe kwa wenyewe pia tunanyanyasana sana tuKwema wana jukwaa leo nimekuja na hoja jinsi wajina wanavyowanyanyasa wazawa ambao wamewaajiri katika kampuni za ujenzi
Kuna kampuni moja inaitwa Chicco inajenga mto ng'ombe unaopita mitaa ya Sinza, Mtogole mpaka Mkwajuni. Mradi ambao uko chini ya Manispaa ya Kinondoni.
Lakini mwanzoni mwa wiki hii J.tatu waliwasimamisha wafanyakazi wao ambao no mafundi ujenzi kwa miez miwili wakidai wamewapa lay-off bila kuwapa stahiki zao kama pesa ya likizo.
Mbali ya hayo wachina hawahawa wanajeuri ya kuwaambia nendeni kokote mkashtaki. Yaan watu wakihoji kukatwa overtime unafukuzwa.
Sasa wako wapi viongozi wa wawanyonge
imeoza sana, usiamini mtu yeyote humu ndani, tena hao watu wa huo upande mwingine ndio wamejaa humuKwa hiyo atatekwa kwa kusema ukweli? Tanzania imeoza basi kama ni hivyo.
Nimekupata mkuu. Kina Ramadhan Ighondu.imeoza sana, usiamini mtu yeyote humu ndani, tena hao watu wa huo upande mwingine ndio wamejaa humu
Wabongo bwana ila kwenye siasa mpaka mnauwana na kutiana vilema, tena kwa malipo ya buku 5 mpaka 10 tuu. Huku kwa wachina mnalia lia...Kuna siku moja nilikuwa kariakoo.. kwenye duka nililokuwepo pembeni kulikuwa na duka la wachina lenye wafanyakazi waswahili...nakumbuka yule kaka mswahili aliomba ruhusa kwa mchina anajisikia vibaya arudi nyumbani..jibu la mchina alimwambia akitoka pale na kazi Hana..dah!!..yule kaka alitia huruma akataka na kumpigia mchina magoti..bahati nzuri duka la pembeni nilipokuwa Mimi wenye duka waswahili wakorofi wakamwambia mchina ..huyu jamaa anaenda home kupumzika Sasa ole wako kesho umfukuze kazi..mchina alinywea kwa ule mkwara..vijana wafanyao kazi kwa wachina wanatiaga huruma Aisee.