"WACHINA" WANAWEKEZA MPAKA KWENYE MAUNO YA KITANGA, DUUH! HATARI

"WACHINA" WANAWEKEZA MPAKA KWENYE MAUNO YA KITANGA, DUUH! HATARI

Mimi nilifikiri Wachina wamekuja kuwekeza kwenye biashara na viwanda kumbe hata kwenye mauno wamo, tena wanakatika kuliko hata dada zetu wa kibongo, hii ni shida sasa.
Mnaona madhara aliyoyafanya Ridhiwani Kikwete na baba yake? Hapa wanatufundisha kuwa hata hii ni fursa ukiwa hapa Tanzania, you don't have kupeleka makontena ya madawa ya kulevya China na kuua wanachi wa kule wakati unaweza ukawa hapa hapa Tanzania unakata viuno na kujiingizia pesa. Ridhiwani unasikia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom