Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unasemaje huo ni ujanja as if ni kitu kibaya. Kiutaalamu inatakiwa gari ikipata damage, then kile kifaa au sehemu yenye damage inatakiwa kuwafanyiwa replacement ili iweze kukaa vema na gari kuwa na muonekano wake wa awali.Ofcourse wako vizuri ila sio wote,mchina ana vitu viwili anafanya 1st anatumia rangi quality ya juu pia booth zao ziko vzr..pili hua ni wajanja sana kama gari maybe imepata ajali bumber,mlango hawanyooshi wanachofanya wanaweka bumber jipya au mlango then ndo wanapiga rangi..kitu kinanyooka...ndio maana very expensive
Wachina watalaam wapo pale opp na shell ya sayansi,wengine wapo kijitonyama baada ya Bar ya miti mirefu, tofauti na wachina kuna hawa wakali pia
Ttr
Azam upholstery
Safari automotive
Mxg near kairuki