Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121


Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale.

Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi ya sampuli 60,000 za visukuku vya viumbe wa kale na wanyama hai wa sasa kutoka kote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…