Wakuu whilst source ni muhimu kuthibitisha ukweli wa habari, lakini sometimes kwa Tanzania kila kitu ni possible. Nakumbuka ilikuwa 2006, pale bandarini nilishuhudia kontena limekamatwa likiwa limejaa sigara embassy zikiingia nchini kutoka China. Well sikujua kilichoendelea na hiyo habari na todate sijawahi kuiona gazetini, Luningani, au kuisikia redioni. I saw the container and the items with my own eyes. Sasa mkuu kings of kings asibishiwe sana pamoja na kwamba ni muhimu kuweka benefit of doubt!