Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame unaoyakabili maeneo mengi ya nchi hiyo. Tukio hilo limefanywa tarehe 16/08/2022.
Mwaka 2007 Lowassa alikuja na wazo kama hili akazomewa, na kuitwa mzushi.