Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga. Ni aibu.
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo halipo, kwenye blue wataita blue na si vinginevyo.
WACHOKONOZI
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo halipo, kwenye blue wataita blue na si vinginevyo.
WACHOKONOZI