Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kusifia kila kitu ni kuilemaza Akili na Utaishi wa mtu,yaani kujizika mwenyewe kifkra,kiroho,kimwili na muonekano kwa ujumla.Na pia wanakiharibu kizazi Chao kwa Upumbavu wao.Kumeibuka tabia ya aibu , tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga .
Ni aibu.
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo halipo, kwenye blue wataita blue na si vinginevyo .
WACHOKONOZI
Wako wapi hao vijana?
Cheki hapo juu nimeweka video mojaWako wapi hao vijana?
una hela nije unilee? Au umevamia tu jina bila.kujua uzito wake
Selfishness ndiyo tatizoMajority ya machawa huaga ni degree holders; hilo ndio linalo niudhi mi binafsi, halafu aina ya watu kama hawa kina WACHOMOZI huaga wana elimu za kawaida sana, a very interesting thing.
Kwamba the more you educate your brain, the more the stupidity is getting into your head