Wachokonozi walindwe ili wanufaikaji wa makanisa na misikiti wasiwadhuru

Wachokonozi walindwe ili wanufaikaji wa makanisa na misikiti wasiwadhuru

Kontoro

Senior Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
123
Reaction score
286
Habari ndugu,

Wachokonozi ni vijana wa kitanzania wanaotengeneza digital contents kwenye social media. Hawa vijana wana talent ya ajabu sana. Wanakufanya ufikilie nje ya box.

Mambo mengi yaliyofichwa kwenye makanisa, misikiti na Dini kwa ujumla, Hawa jamaa wameyaweka wazi.

Kama ilivyo kawaida hizi Dini za kigeni zimesambazwa kwa mikono ya damu. Katika kueneza Dini, watu wengi hasa hasa waafrica ambao walikuwa wagumu kukubaliana nao, waliuliwa kikatili na kusingizia mungu wao kwamba amefanya mauaji kwa kiumbe chake kisa amemkufulu.

Dhehebu kama katoliki wana jeshi kabisa la kupambana na wapinzani. Waislam Kila muumini ni muuaji maana Dini Yao inawaruhusu kuua mtu yeyote anayewapinga.

Kwa sababu hizo, nadiliki kusema kwamba Hawa vijana wetu wanaofanya kazi nzuri ya kuelimisha umma kuhusu uongo wa Dini, Hawa vijana walindwe ili hizo Dini za kigeni wasije kuwadhulu.
 
Sister mmoja wa kiroma alieleza stages za masomo ya upadre kuna hatua wanafundishwa kutokuwepo kwa Mungu na dini then wanarudishwa hatua ya mwisho ya uwepo wa Mungu. Sasa wachokonozi wameishia hiyo level ya kutoamini dini na uwepo wa Mungu wakakimbia masomo. Sasa wanakosoa kitu ambacho kanisa limewafundisha.
 
Back
Top Bottom