WACHOKONOZI: Watanzania wasusie mechi zote za Taifa Stars

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili.

Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph Mrindoko amesema kuwa viongozi wa TFF ni Wasen.g.e.

Anzia dakika ya 5:20. Ni upi mtazamo wako?

View: https://youtu.be/Jm6VmFRDe1I?si=7MYZjCQfCNryqsrJ
 
Hawa majamaa Huwa siwaelewi, Kila kitu wao wapo opposite mfano kwenye ndio wao ni hapana,,, kwenye utajiri wao wapo upande wa umaskini,,, kwenye dini wao wapo upande wa upagani....na wanatetea hoja zao kweli kweli,,, km huna elimu na msimamo unaweza kudondoka kwenye kile wanacho kiamini wao na sio unacho amini wewe
 
Hahahaaa
 
Wana IQ ndogo hata wanaowafollow Wana IQ ndogo
 
Mambo ya msingi aaaah kama hamuyajui.

Uchaguzi unaoathiri Maisha yenu na katiba Hamna muda nanvyo
 
Back
Top Bottom