Shukuru
JF-Expert Member
- Sep 3, 2007
- 747
- 16
Jamani kuna mshkaji mmoja kaning'ang'ani kuwa John Mjema yule mshkaji aliyeimba Wachumba 30 alijiuwa kwa kujichoma kisu afu madaktari wakasema eti alikuwa na matatizo ya akili.. eti hii ina ukweli? maana jamaa ni mzushi afu alivyoning'ang'ania.. mmh nisaidieni kama mnafahamu kuhusu hili..