Wachumba 30

Shukuru

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2007
Posts
747
Reaction score
16
Jamani kuna mshkaji mmoja kaning'ang'ani kuwa John Mjema yule mshkaji aliyeimba Wachumba 30 alijiuwa kwa kujichoma kisu afu madaktari wakasema eti alikuwa na matatizo ya akili.. eti hii ina ukweli? maana jamaa ni mzushi afu alivyoning'ang'ania.. mmh nisaidieni kama mnafahamu kuhusu hili..
 
Kwa mujibu wa Vyombo mbalimbali vilivyotangaza kuhusu lile tukio, huyo jamaa yako yupo sahihi...

Ila hii mada nashauri iondolewe humu ipelekwe sehemu ya Tetesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…