Kumbe usha msoma? Mzima lakini?mods mwangalieni sana huyu mtoa mada,naona anataka kuspam tu jukwaa la loveconect....ashakuja kutaka wakaka warembo wamtafute kuulizwa kama ni gay hakujibu....naona anaona raha tu kuanzisha mada huku....
mods mwangalieni sana huyu mtoa mada,naona anataka kuspam tu jukwaa la loveconect....ashakuja kutaka wakaka warembo wamtafute kuulizwa kama ni gay hakujibu....naona anaona raha tu kuanzisha mada huku....
Mzima. Miss you so much. Umepotea sana siku hizi.mie mzima Mwali....wewe je?